Friday, May 6, 2016

HIZI HAPA PICHA ZA GARI YA HARMONIZER

Baada ya show zake ambazo hazifiki hata 15 toka ametusua kupitia single yake ya Aiyola mkali huyu kutoka WCB ameonyesha bidii ikiwekwa popote kuna matunda. Ni gari aina ya Mark X ambapo Mmiliki wa label ya WCB, Diamond Platnumz alimpongeza na kuandika…’Kama nikusiivyo siku zote ni juhudi na Nidhamu yako ndio itayokufanya upate matunda ya kazi yako….. Usiache unyenyekevu, kuheshimu mkubwa na Mdogo, Kumuomba na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila hatua ndogo Uipigayo…. Congrats kwa your New Ride’ – Diamond Hizi ni picha 10 za muonekano wa gari hiyo mpya ya Harmonize kutoka WCB

No comments:

Post a Comment