Friday, May 6, 2016

SHERIKALI YAKAMATA SUKARI ILIYOFICHWA MBAGALA

Baada ya muda mfupi wa rais kusema kuwa kuna wafanyabiashara wameficha Sukari, muda huu imeripotiwa kuwa huko Mbagala kuna Sukari ya zaidi ya tani 4,900 kwenye ghala la mfanya biashara mmoja na imeelezwa zitachukuliwa hatua stahiki. chanzo; TBC, habari mpasuko

No comments:

Post a Comment