Friday, May 6, 2016

Mwanadada wa Kitanzania akamatwa China na madawa ya kulevya

image.jpeg Mwanamke mmoja wa Kitanzania amekamatwa huko Guangzhou-China na kete kadhaa za madawa ya kulevya. Bado jina lake halijafahamika. Inasemekana anatokea Sinza-Dsm, kwa yoyote mwenye kuujua ukweli wa mahali anapoishi na ndugu zake anaweza kuwapa taarifa kuwa "shost" hali si nzuri huko kwa kina Mao Tse Tung. Taatifa zaidi zinakujia...

No comments:

Post a Comment