Thursday, May 5, 2016

urusi kuimarisha uhusiano na tanzania

  • Makampuni makubwa ya Viwanda na uzalishaji ya Kirusi ya "Russian Helicopters", "United Aircraft Corporation (UAC)" na "United Wagon Company (UWC)" yako tayari kuwekeza kwenye miradi ya viwanda nchini Tanzania.
  • Waziri wa viwanda wa Urusi amesema Urusi iko tayari kujenga nuclear reactor nchini Tanzania kwa ajili ya tafiti na kwa ajili ya mambo ya afya.
  • Huu ni mpango wa Urusi kufufua uhusiano wake na nchi za Afrika kwa upya tangu miaka ya 90 kwa kupitia mshirika wake wa zamani, Tanzania.
  • No comments:

    Post a Comment