Friday, May 6, 2016

UKAWA WATOKA NJE YA BUNGE LEO

UKAWA wametoka nje ya ukumbi wa Bunge Dodoma baada ya jana Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusema kuwa ‘Wabunge wote wa viti maalum CHADEMA ili wapate nafasi hizo ni lazima waitwe kwanza Baby‘ Kauli iliyopingwa na baadhi ya wabunge na kumtaka Naibu Spika kutumia kiti chake ili Mlinga atengue kauli yake, Mlinga alikubali kuitengua lakini Leo Mei 06 2106 hoja hiyo ikarejeshwa tena bungeni kuwa ni kauli ya udhalilishaji kwa wanawake.

No comments:

Post a Comment